Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job

Details
Employer Name: Hogla
Organization Type: Private Sector
Role: Entry Level
Position Type: Full Time
Location: Mbeya
                    Mbeya Vijijini
Application Deadline: 15-04-2017
Listed on: 30-03-2017

Description

nahitaji muuza duka la dawa, awe na cheti cha nursing hata kama ni assistant na cheti cha tfda ( cha tfda ni lazima) na atleast awe na cheti cha form four pia

duka lipo Chimala Mbeya, kama ni mkazi wa huko its an added advantage
mawasiliano
tuma ujumbe kwanza usipige

mshahara 100,000 pamoja na chumba cha kuishi

Application Instructions

Mwombaji awe wa jinsia ya kike ADDO Nurse. Nurse mwenye ujuzi na uzoefu wa kuuza duka la dawa. Mwaminifu, Mwenye kujituma na muwekaji mzuri wa kumbukumbu . Akubali kufanya kazi chimala mbeya Mwombaji tuma CV, nakala za vyeti vyako, barua ya maombi na mawasiliano yako kupitia email  au maulizo kwa jia ya sms katika namba +255 753227333

 OPEN ALL JOBS  

 
 
Top