Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
Details
Application deadline
2017-11-24
Business / Employer name
Raleigh Tanzania
Job categories
  • Social Worker
Job Role
Entry Level
Position Type
Volunteer
Organization Type
NGO
Location
Morogoro Mjini Morogoro
Description
Je, wewe ni kijana wa kitanzania na ungependa kusaidia jamii yako kwa kutatua changamoto mbalimbali zikiwemo kusaidia masuala ya utunzaji wa mazingira,kuwawezesha wajasiriamali,kusaidia uhamasishaji na utekelezaji wa maji,afya na usafi wa mazingira?
Ungana na shirika la Raleigh Tanzania kwa kujitolea kusaidia jamii yako kwa muda wa wiki 12, pamoja na vijana mbalimbali kutoka nje na ndani ya nchi
SIFA na VIGEZO
-Uwe na miaka 18-30
-Uwe tayari kujitolea vijijini kwa muda wa wiki 12
-Uwe na moyo wa kujitolea bila malipo yeyote
-Uwe unatokea mikoa ya Dodoma,Iringa,Mbeya,Morogoro na Dar es salaam
-Uwe unaweza kubadilika kuendana na mazingira na uhitaji
-Uwezo wa kufanya kazi na kushirikiana na wengine
-Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo kikuu
-Uwe na nia ya kujifunza tamaduni mbalimbali.

 Mwisho wa kutuma maombi yako ni tarehe 24/11/2017
Pindi tutakapo pokea maombi yako tutakualika kwenye events zitakazofanyika
Morogoro, tarehe 25/11 2017
Dar es salaam tarehe 28/11/2017
Iringa tarehe 2/12/2017
Mbeya tarehe 10/12/2017
Dodoma. tarehe 16/12/2017
Bonyeza kiungo hapa chini kujaza fomu ya maombi.
 



Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
 
Top