Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
Details
Application deadline
2017-12-31
Business / Employer name
KILIMO KINALIPA
Location
Mbeya Mjini Mbeya
Description
KILIMO KINALIPA ni mtandao wa kijamii unaotoa elimu ya kilimo na ufugaji Tanzania kwa wakulima kupitia mtandao. Kilimo Kinalipa kina network ya wahitahji wa elimu ya kilimo na ufugaji zaidi ya 60,000.
Uhitaji wa elimu ya kilimo na ufugaji umeongezeka sana kwa siku za hivi karibuni.
Kilimo Kinalipa tunapenda kuwajulisha kuwa sasa tunahitaji wataamu wa kilimo kwa kazi ya kutoa ushauri kwa wadau wetu walioko nchi nzima.
Kumbuka kuwa hii sio kazi ya permanent bali ni ya freelancing na utakuwa unalipwa kulingana na kazi uliyofanya au ushauri utakao toa kwa mhitaji.
Tuma CV yako kwa email

.   More Jobs Vacancies  
 
Top