MJIOLOJIA DARAJA LA II (GEOLOGIST GRADE II) - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kupokea na kufuatilia upatikanaji wa taarifa za utafiti wa mistari ya Uchungi na Mitetemo katika utafutaji wa madini au petrol,
ii.    Kukusanya na kuchambua taarifa za Mitetemo, mienendo na mabadiliko ya miamba ardhini,
iii.    Kutunza kumbukumbu za miamba, madini au petrol,
iv.    Kutayarisha Rasimu za Taarifa za kitaalam na kuziwasilisha kunakohusika,
v.    Kusimamia matumizi ya Vifaa vya Kitaalam na Utunzaji wake, na
vi.    Anaweza kuongoza timu ya mafundi sanifu wanapokuwa katika shughuli za utafutaji wa madini au petrol.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Fani ya Jiolojia (pamoja na fani za Jiofizikia au Jiokemia) au sifa nyingine zinazolingana na hizo kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi za mishahara ya Serikali yaan imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top