Join Facebook Jobs Vacancies
post a job, job postings,job search, job vacancies, job search sites, job search websites,local job search, post a job, job postings,job search, job vacancies, job VYUO NA PROGRAMU ZILIZOZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
3.0 Aidha Tume inapenda kusisitiza kwamba, uamuzi huu hautawahusu wanafunzi wanaondelea na masomo katika programu na vyuo husika.
Jobs Vacancies
post a job, job postings,job search, job vacancies, job search sites, job search websites,local job search, post a job, job postings,job search, job vacancies, job VYUO NA PROGRAMU ZILIZOZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kuuarifu umma kuwa, mwezi Septemba na Oktoba mwaka 2016 ilifanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni. Ripoti ya uhakiki ilionesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo. Kwa sababu hiyo, Tume imesitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo vifuatavyo:
1.
Eckenforde
Tanga University
2.
Jomo
Kenyatta University, Arusha
3.
Kenyatta
University, Arusha
4.
United
African University of Tanzania
5.
International
Medical and Technological University (IMTU)
6.
University
of Bagamoyo
7.
St.
Francis University College of Health and Allied Sciences
8.
Archibishop
James University College
9.
Archibishop
Mihayo University College
10.
Cardinal
Rugambwa Memorial University College
11.
Kampala
International University Dsm College
12. Marian University College
13.
St.
Johns University of Tanzania Msalato Centre
14.
St.
Johns University of Tanzania, Marks Centre
15.
St.
Joseph University College of Engineering and Technology
16.
Teofilo
Kisanji University
17.
Teofilo
Kisanji University Tabora Centre
18.
Tumaini
University, Mbeya Centre
19.
Kilimanjaro
Christian Medical University College (KCMCo)
2.0 Aidha, kutokana na mapungufu katika vyuo mbalimbali imeamriwa kwamba
jumla ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa kudahili wanafunzi wa
mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18. Kuona Programu ambazo zimesitishwa
kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2017/18 tafadhali bonyeza hapa. 3.0 Aidha Tume inapenda kusisitiza kwamba, uamuzi huu hautawahusu wanafunzi wanaondelea na masomo katika programu na vyuo husika.
Imetolewa
na:
Prof.
Eleuther Mwageni
Kaimu
Katibu Mtendaji
24
Julai 2017 Jobs Vacancies