work from home opportunities, mom work at home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
FUNDI MCHUNDO DARAJA II (FITTER MECHANICS) - 8 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kufanya uchunguzi ili kutambua chanzo cha tatizo na kutoa taarifa kwa ajili ya maamuzi;
ii. Kufanya matengenezo ya mitambo mbalimbali ya Shirika;
iii. Kuhakikisha mitambo ipo katika hali nzuriwakati wote;
iv. Kuendesha mitambo;
v. Kukagua na kutambua vipuri na vijenzi vilivyoharibika (worn parts) kwa kufuata ratiba ya matengenezo;
vi. Kusoma na kutafri michoro mbalimbali ya mifumoya mashine;
vii. Kubadilisha vipuri vilivyoharibika katika mashine na mitambo;
viii. Kufanya ‘marking –off’ kulingana na michoro;
ix. Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
x. Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter Mechanics’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2
Log in to Apply More Jobs