Join Facebook     More Jobs
work from home opportunities, mom work at home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
DEREVA DARAJA LA II (DRIVER) - 150 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-07-25
Application Deadline: 2017-08-08
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
I.        Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
II.       Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
III.      Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari,
IV.       Kukusafanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
V.        Kujanza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,
VI.      Kufanya usafi wa gari,
VII.     Kufanya kazi zingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne (Form IV) na Leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji Magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) au
REMUNERATION: Salary Scale TGS. B 

    Log in to Apply       More Jobs  

 



 
Top