Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job 
Location
Karatu Arusha
Description
Mwananchi 27/10/2017
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaye ya Karatu anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya ajira ya kudumu na za Mkataba kwa kuzingatia maelezo ya kazi hapa chini:
NAFASI YA KAZI YA KUDUMU
  1. DEREVA DARAJA LA II - NAFASI NNE (4)
a. Sifa za Mwombaji:
  • Mwombaji wa nafasi hii awe na ufaulu wa kidato cha nne
  • Awe na leseni daraja la "C" ya uendeshaji wa magari yote
  • Awe na Uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha aiali
  • Awe mwenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II (Grade test II) kutoka chuo cha usafirishaji (NIT) au chuo kinachotambulika na Serikali.
b. KAZI ZA KUFANYA
  • Kuendesha magari ya abiria na malori
  • Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wate.
  • Kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kubaini ubovu unaohitaji matengenezo
  • Kutunza na kuandika daftari la safari (Log book) kwa safari zote
  • Na kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa wake.
c. NGAZI YA MSHAHARA
Cheo hiki kina ngazi ya mshahara wa TGOS A, sawa Tshs. 300,000/- kwa mwezi bila nyongeza.
d. MAELEKEZO YA JUMLA KWA WAOMBAJI KWA NAFASI ZOTE
  • Mwombaji awe ni Mtanzania
  • Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne
  • Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 hadi 45
  • Mwombaji aambatanishe maombi yake na cheti cha kuzaliwa
  • Maombi yaambatane na sifa binafsi (CV), barua ya maombi, nakala za vyeti vya taaluma.
  • Testimonial, provisional results, statements of results, hati ya matokeo ya kidato cha nne au "che sita havitakubalika
  • Mwombaji aambatanishe maombi yake na picha mbili za hivi karibuni (passport size)
  • Maombi yote yatumwe ndani ya siku kumi (10) tangu tarehe ya tangazo hili
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 05 mwezi 11 Mwaka 2017

MAOMBI VOTE YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO:
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya,
S. L. P. 190, Karatu.
Waziri A. Mourice
Mkurugenzl Mtendaji (W) Karatu

   More Jobs Vacancies  
 



Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
 
Top