Usajili huu unafanyika kwa kujaza fomu maalum inayopatikana kupitia tovuti ya Wakala ya www.taesa.go.tz au kwa kufika kwenye ofisi zetu za kanda zilizoko Dar es Salaam, Arusha, Dodoma na Mwanza. Fomu zilizojazwa zinaweza kuwasilishwa kwenye ofisi zetu za kanda au kwa barua pepe: eacop@taesa.go.tz.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo: 0736 551 055; 0739 221 022; 0735 221 022; na 0735 551 055
Pakua Fomu ya Maombi hapa⏩
 TaESA job, Job in Morogoro, TaESA job,Job in Morogoro, TaESA job, TaESA job, TaESA job,TaESA job,Government job, Government job,
 
 
Top