TABIBU DARAJA LA II (CLINICAL OFFICER II) – MDA'S - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi,
ii.    Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida,
iii.    Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo,
iv.    Kutoa Elimu ya Afya kwa jamii,
v.    Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya ya msingi,
vi.    Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za afya na mfuko wa afya ya jamii,
vii.    Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma,
viii.    Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji,
ix.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha nne (IV) au sita (VI) waliofaulu Kozi ya Stashahada ya Utabibu ya miaka miwili (kidato cha sita) au miaka mitatu (kidato cha nne) katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi za Mishahara ya Serikali imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top