MPIGA CHAPA DARAJA LA II (PRINTER GRADE II) - MDA'S - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kupanga ratiba ya kazi,
ii.    Kuandaa Vifaa vya kufanyia Kazi,
iii.    Kugawa kazi kwa Watumishi walio chini yake,
iv.    Kufuatilia utekelezaji wa kazi zinazoendelea na kutoa taarifa kwa msimamizi wa kazi,
v.    Kutayarisha vielelezo (job jacket lay-out) kuhusu mtiririko wa kazi (Plan of production).

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya kawaida ya Kupiga Chapa, kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3).
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi ya Mshahara TGS C imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top