MPIGA CHAPA MSAIDIZI (ASSISTANT PRINTER) - MDA'S - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
Mtumishi katika daraja hili atakuwa katika mafunzo ya kazi chini ya usimamizi wa Wapiga Chapa wenye uzoefu na kupangiwa Kazi zifuatazo;
i.    Kukunja karatasi ngumu na kutengeneza ‘covers’ za vitabu, majarida, madaftari katika mahitaji mbali mbali kwa kugandisha, kuweka pamoja au kushona katika hali mbalimbali za ubora,
ii.    Kukarabati vitabu, kumbukumbu mbalimbali au majarida kwa kuyawekea gamba jipya au kurudisha katika hali yake ya mwanzo kutegemea na kifaa hicho kilivyoharibika,
iii.    Kupanga vifaa vilivyotengenezwa katika makasha kwa vipimo vyake au katika seti,
iv.    Kuendesha mashine za kukata karatasi/ kupiga Chapa/ Mashine za Composing, kushona au kugandisha vitabu, majarida, madaftari na vifaa vingine vinavyokuwa vimetakiwa kwa mtindo wa ubora wake,
v.    Kupanga karatasi zitakazochapwa kwa hesabu ya kila kitabu, jarida, daftari na vinginevyo kwa kushonwa au kugandishwa pamoja.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au cha Sita waliofaulu masomo ya Sayansi au Sanaa, wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la I (Trade Test Grade I) katika Lithography/ Composing/ Binding/ Machine Minding, au waliohitimu mafunzo ya miaka miwili ya Kupiga Chapa.
REMUNERATION: Salary Scale ngazi ya Mshahara TGS B Assistant Printer Job, Assistant Printer Job, Driver job, Government job,Government job, Assistant Printer Job
Login to Apply⏩
 
Top