FUNDI SANIFU DARAJA LA II - HAIDROJIOLOJIA (TECHNICIAN GRADE II - HYDROGEOLOGIST) - 7 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-05-15
Application Deadline: 2018-05-28

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kuhakiki uwezo wa kisima kutoa maji  (Pump test);
ii.    Kuchora ramani za awali za kiufundi;
iii.    Kuhifadhi taarifa za kikazi (Field Data) zipatikanazo wakati wa utafiti wa maji chini ya ardhi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC HYDROGEOLOGY) au Stashahada ya Kawaida ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION: Salary Scale TGS C 

Login to Apply⏩
imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
 
Top