FUNDI SANIFU (HAIDROLOJIA) DARAJA LA II (TECHNICIAN GRADE II HYDROLOGY) - 15 POST
Employer: MDAs & LGAsDate Published: 2018-05-15
Application Deadline: 2018-05-28
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji;
ii. Kutunza takwimu za maji;
iii. Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro;
iv. Kuchora ‘hydrograph’ za maji;
v. Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way post” n.k;
vi. Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na hali ya hewa;
vii. Kuingiza takwimu kwenye kompyuta;
viii. Kufundisha wasoma vipimo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi ( FTC- Hydrology) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION: Salary Scale TGS C
Login to Apply
imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job