work from home opportunities, mom work at home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio;
ii. Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio;
iii. Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora;
iv. Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti;
v. Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo;
vi. Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo na mwaka ngazi ya halmashauri;
vii. Kukusanya takwimu za mvua;
viii. Kushiriki katika savei za kilimo;
ix. Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia;
x. Kupanga mipango ya uzalishaji;
xi. Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi;
xii. Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo;
xiii. Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima;
xiv. Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu;
xv. Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea;
xvi. Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo;
xvii. Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji;
xviii. Kutoa ushauri wa kilimo mseto;
xix. Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira na;
xx. Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
• Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha nne (IV) au Sita (VI) wenye stashahada
(Diploma) ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.C
Log in to Apply More Jobs