- Details
- Business / Employer name
- Mimina
- Anahitajika fundi anayejua kushona nguo aina zote pia na ushonaji wa vitu mbali mbali tofauti na nguo kama mabegi, kofia, pillow cases nk
- Mtaalamu wa kutengeneza viatu vya kike na kiume.. Awe na uzoefu wa kutosha
Apply for this job