work from home opportunities, mom work at home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
POST Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuratibu mipango ya uzalishaji mifugo wilayani;
ii. Kuratibu uzalishaji wa mifugo katika mashamba makubwa ya mifugo;
iii. Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo wilayani;
iv. Kuratibu na kuendesha mafunzo ya ufugaji bora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa wataam wa mifugo na wafugaji;
v. Kufanya mapitio na marekebisho ya miundo ya masoko ya mifugo wilayani kwake na mkoani;
vi. Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo wilayani;
vii. Kufanya soroveya ya rasilimali (resource survey) kama vile mifugo, vyakula vya mifugo, malisho n.k. katika eneo lake la kazi;
viii. Kuendesha mafunzo kwa Mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama katika kuweka na kusambaza pembejeo za mifugo;
ix. Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali ;
x. Kufanya utafiti juu ya uharibifu wa mazingira katika wilaya;
xi. Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe waharibifu wa malisho;
xii. Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo;
xiii. Kufuatilia, kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo;
xiv. Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na fani yake kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
• Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Mifugo (Animal Science) kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali au sifa inayolingana nayo.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.D
Log in to Apply More Jobs