work from home opportunities, mom work at home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
• Atafanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo kwa wafugaji wa eneo lake.
• Kwa kushirikiana na wakaguzi wa afya, atakagua nyama na usafi wa machinjio
mara kwa mara.
• Atakusanya takwimu za nyama na mazao yatokanayo na mifugo k.m ngozi na
kuandika ripoti.
• Atatibui magonjwa ya mifigo chini ya usimamizi wa Daktari wa mifugo na
• kushauri wafugaji jinsi ya kukinga mifugo dhidi ya magonjwa.
• Atatembelea wafugaji mara Kwa mara na kuwapa ushauri fasaha wa kitaalam
katika eneo Lake Kazi.
• Atakusanya takwimu zote za maendeleo ya mifugo katika eneo lake.
• Atashauri na kusimamia ujenzi wa majosho, machinjio, vibanio na miundo mbinu
inayohusiana na ufugaji bora.
• Atahusika na uhamilishaji (Artificail Insemination) na uzalishaji (breeding) wa
mifugo kwa ujumla.
• Atashauri wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha maziwa na utunzaji wa
ndama.
• Atafanya kazi nyingine za fani yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa
kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha VI waliofuzu mafunzo ya Stashahada
(Diploma) ya mifugo kutoka chuo cha Kilimo na Mifugo (MATI au LITI) au chuo
kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.C
Log in to Apply More Jobs