work from home opportunities, mom work at home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuendesha Usaili wa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenye matatizo, watoto na vijana wenye matatizo mbalimbali);
ii. Kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili;
iii. Kuandaa taarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa;
iv. Kupokea na kukusanya taarifa za Ustawi wa Jamii kutoka kwa wadau na vituo mbalimbali vya Ustawi wa Jamii;
v. Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo;
vi. Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, malezi ya kambo (foster care) na vituo vya walezi wa watoto wadogo mchana;
vii. Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa akina mama, waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja;
viii. Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au wanaohitaji misaada mbalimbali;
ix. Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali toka kwenye familia za watu wenye dhiki;
x. Kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa;
xi. Kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya Ufundi Stadi vya watu wenye ulemavu, Mahabusu za watoto na shule za maadilisho;
xii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
• Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa katika fani ya ‘Social Works’ au ‘Sociology’ au Stashahada ya juu katika ‘Social Works’’ kutoka Chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali
REMUNERATION: Salary Scale TGS.D
Log in to Apply More Jobs