MKUFUNZI DARAJA LA II - KILIMO (AGRICULTURAL TUTOR II) - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kufundisha somo la kilimo katika vyuo vya maendeleo ya wananchi.
ii.    Kutayarisha mpango wa kazi wa Mafunzo
iii.    Kupima Maendeleo ya Wanachuo katika nadharia na vitendo
iv.    Kutunza vifaa vya kufundishia
v.    Kufanya na kutoa taarifa za Utafiti
vi.    Kutoa  Ushauri wa kitaalam
vii.    Kuandaaa kanuni na taratibu za kusimamia Mitihani chuoni
viii.    Kutunga na kusahihisha Mitihani
ix.    Kufanya Utafiti utakosaidia kutoa majibu kwa matatizo/changamoto mbalimbali katika jamii inayoizunguka chuo
x.    Kutoa Ushauri juu ya kuboresha Taaluma chuoni na kuendeleza Mafunzo nje ya chuo

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/stashahada ya juu katika somo la kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi za mishahara ya Serikali yaan imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top