MHANDISI RADIO DARAJA LA II (RADIO ENGINEER II) – MDA'S - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Uendeshaji wa mitambo ya Radio chini ya usimamizi wa wahandisi wazoefu.
ii.    Matengenezo madogo madogo ya mitambo ya Radio.
iii.    Anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi wa zamu “Shift Leader”.
iv.    Kuchunguza, kuchambua na kurekebisha mitambo ya Radio
v.    Kusimamia na kuongoza Mafundi Mitambo walio chini yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Shahada ya Juu ya Uhandisi kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za Uhandisi.
REMUNERATION: Salary Scale Kwa kuzingatia viwango vya Serikali imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top