AFISA UTAFITI KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL RESEARCH OFFICER II)–(AGRONOMY NAFASI 1,HORTICULTURE NAFASI 1,AGRICULTURAL ECONOMICS AND AGRIBUSINESS NAFASI 1,AGRICULTURE GENERAL NAFASI 1 - 4 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa Kilimo/Uchumi kilimo chini ya maelekezo ya afisa utafiti mwandamizi,
ii.    Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti zinazoendelea,
iii.    Kuhudhuria mikutano ya Kanda ya kuhuisha programu za utafiti,
iv.    Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yao,
v.    Kutoa ripoti ya maendeleo ya utafiti na mapendekezo ya utafiti katika mikutano ya kanda ya kuhuisha program za utafiti,
vi.    Kufanya shughuli za utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa Afisa  Utafiti mwandamizi,
vii.    Kuandika mapendekezo ya utafiti chini ya uongozi wa Afisa Utafiti Mwandamizi,
viii.    Kuandika ripoti za miradi ya utafiti kwa ajili ya kupitishwa na Afisa utafiti mwandamizi,
ix.    Kufanya majaribio ya husishi ya kilimo ma mifugo katika mashamba ya wakulima kwa kushirikiana na Maafisa Ugani na wakulima wenyewe na
x.    Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (Bachelor Degree) ya Agronomy, Horticulture, Agricultural Economics and Agribusiness na Agriculture General kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi ya Mshahara TGS D imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top