SIFA ZA MUOMBAJI:
- Muombaji anatakiwa awe na cheti cha taaluma husika yaani mauzo kwa kiwango cha certificate.
- Cheti cha kidato cha nne au sita.
- Leseni ya udereva daraja “D” ingawa “C” inapendekezwa zaidi.
- Uzoefu wa kuendesha magari ya mizigo (mfano: Suzuki carry, Fuso, Canter, Scania n.k) kwa muda usiopungua miaka miwili bila kusabisha ajali (suala hili litafuatiliwa katika kitengo cha usalama barabarani ikiwa ajira itapatikana).
- Awe mwenyeji wa mkoa wa Arusha. (Hii ni lazima)
- Awe na uzoefu wa kuuza vinywaji vitokanavyo na zao la ndizi yaani Banana kutoka katika kiwanda chochote. (Hii ni lazima)
- Pia awe na uelewa mzuri wa alama za barabarani.
- Awe mchapa kazi, mwadilifu na mwenye kuzingatia muda.