FUNDI SANIFU - MAJENGO (TECHNICIAN II ARCHITECTS) - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-03-28
Application Deadline: 2018-04-11

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu Wasanifu majengo,
ii.    Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za usanifu wa majengo,
iii.    Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya majengo yanayowasilishwa Wizarani.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye mojawapo ya sifa zilizotajwa hapa chini:
i.    Waliohitimu kidato cha iv na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani ya usanifu majengo
ii.    Waliohitimu kidato cha vi na kufuzu mafunzo ya ufundi wa miaka miwili kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za usanifu majengo
iii.    Wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Hatua ya I kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na Serikali,
iv.    Wenye Stashahada ya kawaida katika fani za ufundi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi ya Mshahara TGS C imary School Class Teacher job, Driver job, Government job,Government job, Primary School Class Teacher job
Login to Apply⏩
 
Top